https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MATUKIO KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

    G2Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiteta na Mbunge  wa Ilala  Azzan  Mussa Zungu, bungeni mjini Dodoma Aprili 29, 2016.

    G3Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi, Angeline Mabula bungeni mjini Dodoma Aprili 29, 2016.
    G5Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Mpwapwa, George Lubeleje kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 29, 2016.
    G6Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Butiama , Nimrod Mkono kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 29, 2016.
    G7Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiteta na wabunge Ahmed Shabiby wa Gairo (kushoto) na Suleiman Ahmed  Saddiq wa Mvomero, kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 29, 2016.
    G8 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MATUKIO KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top