Likitokea pambano la kutumia pesa kati ya Mayweather na Manny basi hakutakua na ubishi nani atashinda kati ya hao wawili. Mshindi tungemjua mapema ni Floyd Mayweather, lakini kwenye hili pambano la masubwi bado hatujajua nani ni mkali hadi pambano lifanyike.
Ukizungumzia kutumia mitonyo basi hapo umemfikisha Floyd, kwenye moja ya video alisema kwamba hajui kwanini watu wana hate akiwa anatumia pesa ambazo amezitengeneza kwa juhudi zake. “Hizi pesa ninazotumia nimezitafuta kwa juhudi zangu, sijamkaba mtu na kumuibia sasa kwanini watu wachukie”.
Hivi ndivyo anavyotumia hayo mapesa yake kwa maisha ya hali ya juu na vitu vyenye thamani.
Sitting
back on that G450 private jet counting that new blue face Monopoly
money #christianlouboutin #audemarspiguet #burberry #louisvuitton
My
son @kingkoraun wanted a Bentley golf cart for his 15th birthday so I
made it appear. Stay on the look out for his gift for his 16th birthday!
Yachts,
private jets, foreign cars, mansions, unlimited shopping sprees, and I
am just getting started! I spoke to God last night and I asked: “Is
there a problem with how this lavish KING is living down here on earth?”
and God said: “NO it was already predestined.”
Sitting
back on that G450 private jet counting that new blue face Monopoly
money #christianlouboutin #audemarspiguet #burberry #louisvuitton
It’s
all about having choices.. $6.4 million worth (and this is just one
case): 8 Audermar Piguets… 8 Rolexs… 2 Aximums… 3 Franck Mullers… 1
Hublot Big Bang King… 1 Rainbow Tourbillon… 1 Piaget Galaxy
@JustinBieber
Welcome to the Jet Club! Yes, I got a 14 passenger jet. Got to give
them another reason to hate, but I will motivate the people that are
ambitious and want to be winners in life. I am guilty! I’m materialistic
& I’m motivated by money…but GOD is first in my life. GOD will not
give you anything you can’t handle. That’s why GOD gave me the best
hands in the business to pray with, box with and count money with.
#AirMayweather