MH MAKALLA AENDELEA NA ZIARA YA KIKAZI PERAMIHO, AKUTANA NA ALIYEKUWA MKUU WA KITENGO CHA ULINZI WAKATI WA KAMPENI ZA 2010 MVOMERO
Aaah mheshimiwa nashukuru sana ila ngoja nihesabu!! Michael Nchimbi
aliyekuwa mkuu wa kitengo cha Ulinzi kampeni za ubunge Mvomero 2010
akihesabu hela alizopewa na Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla
walipokutana wakati wa ziara ya Mh Makalla mjini Songea.
Naibu
Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla akiangalia kwa makini taarifa ya
utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa tanki la kuhifadhia maji lililopo eneo
la Luyelela kijiji cha Lugagala jimbo la Peramiho, Songea. Kulia kwa
Naibu Waziri ni Katibu Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Bw.
Juma Ally na kushoto kwake ni Mhandisi wa Maji Songea vijijini Bw. John
a. Undiri.
Naibu
Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla akutana na aliyekuwa mkuu wa kitengo
cha Ulinzi kampeni za ubunge Mvomero 2010 ndg Michael Nchimbi
Item Reviewed: MH MAKALLA AENDELEA NA ZIARA YA KIKAZI PERAMIHO, AKUTANA NA ALIYEKUWA MKUU WA KITENGO CHA ULINZI WAKATI WA KAMPENI ZA 2010 MVOMERO
Rating: 5
Reviewed By: Unknown