Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kuifariji
familia
ya Marehemu Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita Temeke Chang'ombe
jijini Dar es salaam jioni ya leo April 27, 2015. Marehemu anatarajiwa
kuzikwa siku ya Jumatano katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam
baada ya Swala ya Alasiri katika msikito wa Mtoro, baada ya kupata
heshima zote za kijeshi asubuhi yake katika makao makuu ya Jeshi Upanga,
Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia wakati Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha
maombolezo
alipokwenda kuifariji familia ya Marehemu Brigedia Jeneral Mstaafu
Hashim Mbita Temeke Chang'ombe jijini Dar es salaam jioni ya leo April
27, 2015. Marehemu anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatano katika makaburi
ya Kisutu jijini Dar es salaam baada ya Swala ya Alasiri katika msikito
wa Mtoro,
baada ya kupata heshima zote za kijeshi asubuhi yake katika makao makuu ya Jeshi Upanga, Dar es salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma kikwete wakimsikiliza mtoto wa
Marehemu Bw. Iddi Mbita kuhusu taratibu za mazishi walipokwenda
kuifariji familia ya Marehemu Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita Temeke Chang'ombe jijini Dar es salaam jioni ya leo April 27, 2015. Marehemu
anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatano katika makaburi ya Kisutu jijini
Dar es salaam baada ya Swala ya Alasiri katika msikito wa Mtoro, baada ya kupata heshima zote za kijeshi asubuhi yake katika makao makuu ya Jeshi Upanga, Dar es salaam.
Rais Kikwete akiondoka msibani .Picha na IKULU





