Kutokana na tatizo la hofu ya usalama
Kenya leo tulisikia ishu ya walimu
kugoma kwenda kufanya kazi maeneo ya kaskazini mwa Kenya.. kingine ilikuwa ishu ya wahudumu wa afya pia kukimbia maeneo hayo kutokana na hofu ya mashambulizi hayo pia.
kugoma kwenda kufanya kazi maeneo ya kaskazini mwa Kenya.. kingine ilikuwa ishu ya wahudumu wa afya pia kukimbia maeneo hayo kutokana na hofu ya mashambulizi hayo pia.
Kaskazini mwa Kenya hali sio shwari sana, hii story inatoka maeneo ya Turkana ambako Afisa mmoja wa Polisi Alfred Lokori amelazimika
kuchukua jukumu la kuwahudumia wenyeji wa eneo hilo katika kituo cha
Afya cha Lomelo, kituo hicho hakina wahudumu kabisa.
“sasa nimekuwa Askari mahali pengine na mahali pengine nimekuwa ni daktari “; Alfred Lokori.
Tukio kama hili liliripotiwa wiki
iliyopita katika kaunti hiyohiyo ya Turkana ambako kijana
mmoja alijitokeza kufanya kazi ya udaktari ambayo haifahamu kutokana na
ukosefu wa wahudumu wa Afya katika eneo hilokutokana na kukosekana kwa
usalama.
Nimekuwekea taarifa hiyo iliyoripotiwa na kituo vha K24 kuitazama bonyeza play hapa chini..