https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    BAADHI YA VIONGOZI WA JARIBIO LA MAPINDUZI BURUNDI WAKAMATWA

    Kunataarifa zinaeeleza kuwa baadhi ya viongozi wa jaribio la kuipindua nchi ya Burundi lililoshindikana wamekamatwa.

    Haijafahamika mara moja iwapo Jenerali Godefroid Niyombare, aliyetangaza mapinduzi ni miongoni mwa watu waliokamatwa.

    Mmoja wa jenerali msaliti aliyejaribu kutwaa madaraka nchini Burundi amesema anamini jaribio lao la kutaka kumng'oa madarakani rais Pierre Nkurunziza limeshindikana.

    Jenerali Cyrille Ndayirukiye ameliambia shirika la habari la AFP, kuwa wengi wa wanajeshi wanataka serikali ya sasa iendelee kuwepo madarakani.

    Wakati huo huo, rais wa Nkurunziza ametwiti katika ukurasa wake wa twitta kuwa amerejea nchini Burundi, na kunataarifa kuwa sauti yake imesikika katika redio ya taifa
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: BAADHI YA VIONGOZI WA JARIBIO LA MAPINDUZI BURUNDI WAKAMATWA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top