https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MIILI YA WATU NANE IMEPATIKANA IKIWA KWENYE NDEGE YA KIJESHI YA MAREKANI ILIYOANGUKA

    Miili ya watu nane imepatikana ikiwa kwenye ndege ya kijeshi ya Marekani iliyoanguka nchini Nepali, wakati ikiwa katika shughuli za kutoa misaada kwa waathirika wa tetemeko la ardhi.

    Mabaki ya ndege hiyo yalipatikana Ijumaa asubuhi na wachunguzi wanahangaika kubaini chanzo cha ajali hiyo.

    Wanajeshi wanne wa Marekani na wanajeshi wawili wa Nepali waliokuwa wakitoa misaada katika eneo linalopakana na China baada ya tetemeko lililotokea siku ya jumanne.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MIILI YA WATU NANE IMEPATIKANA IKIWA KWENYE NDEGE YA KIJESHI YA MAREKANI ILIYOANGUKA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top