.Sababu ni kile kinachodaiwa askari polisi kumuuwa kwa risasi mwananchi wa mtaa wa kambalage na kumjeruhi mwingine
Hali
ya Taharuki yaendelea Hadi Mchana Huu Mjini Njombe Kufuatia Maandamano
Makubwa ya Wananchi Baada ya Kile Kinachoelezwa Askari Polisi kumuuwa
Mwananchi Basil Ngole Mkazi wa Kambalage Mwenyeji wa Lugenge.
Mapemba
Leo Asubuhi Wananchi Hao Wameandamana Kutoka Kambalage Hadi Hospitali ya
Mkoa Huko Kibena Kumjulia Hali Majeruhi Kijana Fredy Ambako Mabomu
Yalianzia Majira ya Nne Asubuhi Baada ya Wananchi Kufunga Barabara Kwa
Mawe Kutokana na Kucheleweshwa majibu ya kauli ya Jeshi la Polisi Juu ya
Mauaji Hayo.
Taarifa Zaidi Endelea kufuatilia Mtandao Huu.