https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    VIKOSI VYA ULINZI MISRI VYADAIWA KUWASHAMBULIA KINGONO MAHABUSU

    Shirikisho la Kimataifa la Haki za Binadamu limesema vikosi vya ulinzi vya Misri vinatumia shambulio la ngono dhidi ya kundi la watu wengi wanaoshikiliwa.

    Ripoti ya shirikisho hilo imeeleza wanaume, wanawake na watoto wamekuwa wakidhalilishwa ili kudhibiti maandamano ya umma.

    Wengi wa wanaoshikiliwa hufanyiwa vipimo vya ubikira, kubakwa pamoja na kubakwa genge la la watu baada ya kukamatwa. Wizara ya Mambo ya Ndani Misri imesema itatoa taarifa yake baada ya kuiona ripoti hiyo.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: VIKOSI VYA ULINZI MISRI VYADAIWA KUWASHAMBULIA KINGONO MAHABUSU Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top