https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    ZAIDI YA WATU 50, WAMEKUFA KATIKA MAPOROMOKO YA ARDHI NCHINI COLOMBIA

    Zaidi ya watu 50, wamekufa katika maporomoko ya ardhi katika mkoa wa Antioquia kaskazini magharibi mwa Colombia.

    Rais wa Colombia Juan Manuel Santos amesema mamlaka zake bado hazina taarifa sahihi za watu ambao hadi sasa hawajulikni walipo.

    Mvua kubwa zinazonyesha zimesababisha mto Liboriana katika mji wa Slagar kupasuka kingo zake na kusababisha maporomoko ya ardhi.

    Vijiji vingi vya Santa Margarita, vilivyopo kusini magharibi mwa mji mkuu Medellin vimesombwa maji baada ya mto huo Liboriana kupasuka kingo zake.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: ZAIDI YA WATU 50, WAMEKUFA KATIKA MAPOROMOKO YA ARDHI NCHINI COLOMBIA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top