Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi alipowasili
katika uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume akiwa nchini kwa ziara ya
kikazi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimtambulisha Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi alipokuwa
akisalimiana na Mawaziri wa Zanzibar mara alipowasili katika uwanja wa
Ndege wa Abeid Amani Karume akiwa nchini kwa ziara ya kikazi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitambulishwa na Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi
aliposalimiana na Mawaziri mbali mbali wa Serikali ya Msumbiji
walioungana na Rais Filipe mara baada ya mapokezi walipowasili katika
uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume kwa ziara ya kikazi Nchini.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya
mapokezi akiwa na ujumbe wake walipowasili katika uwanja wa Ndege wa
Abeid Amani Karume akiwa nchini kwa ziara ya kikazi.
Rais
wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi akipokea salamu ya Heshma ya
Gwaride la JWTZ akiwa naMwenyeji wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili katika uwanja
wa Ndege wa Abeid Amani Karume akiwa nchini kwa ziara ya kikazi.
Rais
wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi akikagua Gwaride la JWTZ mara
baada ya kupokea salamu ya Heshma alipowasili katika uwanja wa Ndege wa
Abeid Amani Karume akiwa nchini kwa ziara ya kikazi wakati wa mapokezi
yake ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein na Viongozi mbali mbali walifika uwanjani hapo kwa
mapokezi maalum.
Rais
wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi akiangalia ngoma ya kibati akiwa
naMwenyeji wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Abeid Amani
Karume akiwa nchini kwa ziara ya kikazi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar katika ziara ya kikazi nchini akiwa na ujumbe wake.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi
baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar katika ziara ya
kikazi nchini akiwa na ujumbe wake,[Picha na Ikulu.]