Kaimu
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Rukia Mtingwa
akikabidhi cheti kwa Eddah Francis (kulia), mmoja wa wahitimu wa mradi
wa Kuendeleza Vijana Kiuchumi Dar es Salaam katika mahafali yao
yalifanyika Chuo cha ufundi stadi cha Future World, Gongo la mboto, nje
kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo. Kulia kwa Rukia ni Mkuu wa Future
World, Robert Mkolla na Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter.
Mradi huo umefadhiliwa na NBC kwa kushirikiana na Shirika la Plan
International.
Kaimu
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Rukia Mtingwa
akikabidhi cheti kwa Rasuli Mikidadi (kulia), mmoja wa wahitimu wa mradi
wa Kuendeleza Vijana Kiuchumi Dar es Salaam katika mahafali yao
yalifanyika Chuo cha ufundi stadi cha Future World, Gongo la mboto, nje
kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo. Kulia kwa Rukia ni Mkuu wa Future
World, Robert Mkolla na Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter.
Mradi huo umefadhiliwa na NBC kwa kushirikiana na Shirika la Plan
International.
Kaimu
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Rukia Mtingwa
akikabidhi cheti kwa Steven Msulwa (kulia), mmoja wa wahitimu wa mradi
wa Kuendeleza Vijana Kiuchumi Dar es Salaam katika mahafali yao
yalifanyika Chuo cha ufundi stadi cha Future World, Gongo la mboto, nje
kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo. Kulia kwa Rukia ni Mkuu wa Future
World, Robert Mkolla na Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter.
Mradi huo umefadhiliwa na NBC kwa kushirikiana na Shirika la Plan
International.
Kaimu
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Rukia Mtingwa
akikabidhi cheti kwa Neema Kaole (kulia), mmoja wa wahitimu wa mradi wa
Kuendeleza Vijana Kiuchumi Dar es Salaam katika mahafali yao yalifanyika
Chuo cha ufundi stadi cha Future World, Gongo la mboto, nje kidogo ya
Jiji la Dar es Salaam leo. Kulia kwa Rukia ni Mkuu wa Future World,
Robert Mkolla na Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter. Mradi huo
umefadhiliwa na NBC kwa kushirikiana na Shirika la Plan International.
Kaimu
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Rukia Mtingwa
(katikati), akitoa hotuba kwa niaba ya mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo
katika hafla hiyo. Kushoto ni Mkuu wa Future World, Robert Mkolla na
kulia ni Meneja wa mradi kutoka Shirika la Plan International, Simon
Ndembeka.
Kaimu
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Rukia Mtingwa
akisalimiana na Amina Hassan (kulia), mmoja wa wahitimu wa mradi wa
Kuendeleza Vijana Kiuchumi Dar es Salaam katika mahafali yao yalifanyika
Chuo cha ufundi stadi cha Future World, Gongo la mboto, nje kidogo ya
Jiji la Dar es Salaam leo. Nyuma yake ni Meneja Huduma za Jamii wa NBC,
Irene Peter. Mradi huo umefadhiliwa na NBC kwa kushirikiana na Shirika
la Plan International.
Meneja
Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter akiwa katika hafla hiyo. Kushoto
kwake ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania,
Rukia Mtingwa na Mkuu wa Future World, Robert Mkolla.
Asilimia 60 ya wahitimu 600 katika mradi huo wameshafanikiwa kupata
ajira.
Baadhi
ya wahitimu wa mradi wa kuwaendeleza vijana kiuchumi wakiwa katika
hafla hiyo. Mradi huo umefadhiliwa na benki ya NBC kwa kiasi cha pesa
zaidi ya shs milioni 420 kwa ukiratibiwa kwa kushirikiana na Shirika la
Plan International.