https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    ZAIDI YA WAHAMIAJI 700 KUTOKA BANGLADESH NA MYANMAR WAOKOLEWA

    Zaidi ya wahamiaji haramu 700 kutoka Bangladesh na Myanmar wameokolewa kutoka kwenye boti iliyozama katika Pwani ya Indonesia.

    Taarifa zinaeleza kuwa boti jingine limezuiwa kuingia Indonesia na kikosi cha majini cha nchi hiyo.

    Hatma ya boti nyingine pamoja na wahamiaji haramu iliyobakia baharini katika pwani ya Thailand haijajulikana.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: ZAIDI YA WAHAMIAJI 700 KUTOKA BANGLADESH NA MYANMAR WAOKOLEWA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top