https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    BALOZI MULAMULA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA SUDAN NCHINI


    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Baloz Liberata Mulamula akisalimiana na Balozi wa Sudan nchini Tanzania, Dkt. Yassir Mohammed Ali alipokuja kumtembelea Wizarani na kufanya nae mazungumzo pamoja na kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje.

    Picha na Reginald Philip

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: BALOZI MULAMULA AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA SUDAN NCHINI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top