Stori za madai ya wasanii mbalimbali kudaiwa kuiba nyimbo za wasanii wengine bado zimeendelea kuchukua nafasi zaidi kwenye nchi mbalimbali duniani.
Mara nyingi wasanii wadogo ndio wamekuwa wakilalamika sana kuibiwa nyimbo zao kila wakati na malalamiko haya huenda moja kwa moja kwa mastaa wenye majina makubwa kwenye muziki.
Stori kubwa leo ambayo imechukua headlines kuna malalamiko kutoka kwa undergoudAhmad Lane kudai kuwa staa Beyonce kaiba nyimbo yake inayoitwa ‘Xo’ kutoka kwake.
Msanii huyo amelalamika kuibiwa nyimbo yake hiyo ambayo aliita ‘XoXo’ na kutaka alipe dola milioni 7 kutoka kwa staa huyo.
Nyimbo ya msanii huyo iitwayo ‘XoXo’ hii hapa isikilize.