BREAKING NEWS ASKARI POLISI WAGONGWA NA GARI BAADA YA GARI HIYO KUKATAA
Ajali Arusha: Askari Polisi wagongwa na gari Ni baada ya dereva kusimamishwa akakataa, Trafiki wakapiga simu mbele, alipofika akakutwa askari wameweka kizuizi njiani akawagonga. Taarifa zisizo rasmi watatu wamefariki hapo hapo