Umati
wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Mbeya, wakiwa wamemzunguka,
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh.
Edward Lowassa (katikati), wakati alipowasili kwenye Ofisi za CCM Mkoa
wa Mbeya leo Juni 19, 2015, kukabidhiwa fomu zitakazomuwezesha kupata
ridhaa ya Chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa
kufanyika Oktoba 25, 2015. Mbeya wamevunja rekodi udhamini kwa Mh.
Lowassa ya mikoa yote aliyopita, amepata wadhamini 53,156 kwa mkoa wa
Mbeya pekee.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akipunga mkono kwa Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa
wa Mbeya, waliofurika kwa wingi wao kwenye Uwanja wa Ofisi za CCM Mkoa
wa Mbeya, wakati alipowasili kwenye Ofisi hizo leo Juni 19, 2015, tayari
kwa kupokea fomu za WanaCCM 53,156 wanaliomdhamini ili apate ridhaa ya
Chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika
Oktoba 25, 2015.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akizungumza machache na kutoa shukrani kwa WanaCCM na Wananchi
wa Mkoa wa Mbeya waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Ofisi za CCM
Mkoa wa Mbeya, leo Juni 19, 2015.
Furaha
ya Mh. Edward Lowassa kwa wanaCCM na Wananchi wa Mkoa wa Mbeya, hata
haikujificha pale alipata mapokezi makubwa ambayo hata yeye
hakuyategemea.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akipokea fomu za WanaCCM zaidi ya elfu tisa wa Wilaya ya Mbeya
Vijijini kutoka kwa Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo, Mary Kalinze.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akizungumza na WanaCCM wa Wilaya ya Mbeya Vijijini, kwenye mji Mdogo wa Mbalizi wakati aliposimama kuwasalimia.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akisalimiana na Kijana Mwenye ulemavu, Ernest Mhagama aliekuja
kumpokea katika Uwanje wa Ndege Songwe, Jijini Mbeya leo Juni 19, 2015.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Songwe na kulakiwa na umati wa
WanaCCM wa Mkoa wa Mbeya.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akisalimiana na Kijana Mwenye ulemavu, Ernest Mhagama aliekuja
kumpokea katika Uwanje wa Ndege Songwe, Jijini Mbeya leo Juni 19, 2015.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwapungia wanaCCM wa Mkoa wa Mbeya.
Shangwe kwa wanaCCM wa Mji wa Mbalizi, Mbeya Vijijini.
Mh. Lowassa akiteta jambo na Katibu wa CCM Wilaya ya Mbeya Vijijini.
Umati wa wanaCCM wa Mji wa Mbalizi jijini Mbeya.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akipokea fomu za WanaCCM zaidi ya elfu tisa wa Wilaya ya Mbeya
Vijijini kutoka kwa Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo, Mary Kalinze.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akizungumza na WanaCCM wa Wilaya ya Mbeya Vijijini, kwenye mji Mdogo wa Mbalizi wakati aliposimama kuwasalimia.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akiwasalimia wanaCCM na Wananchi wa Mji wa Mbalizi jijini Mbeya
waliojitokeza kumlaki.