Kwenye page yake ya twitter alikua akiRT na kupost picha akiwa kwenye vituo vya Radio za South Afrika akiwa na Donald katika kuipromote hiyo single yao mpya ambapo wakati akiwa anaendelea kupost hizo picha alitokea shabiki mmoja kwenye twitter akamuandikia >>> ‘Ushamba huo hata interview unarusha, kina ngosha washafanya hizo kibao tu, vitu vingine vya kawaida sana wewe‘
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Item Reviewed: Jibu alilolitoa Diamond kwa shabiki aliyemkasirisha kwa kukerwa na hizi picha alizopost !
Rating: 5
Reviewed By: Unknown

