https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Kama ulidhani noma ya mafuriko ni Tanzania pekeake, angalia picha tisa kilichotokea China..

    d43d7e14d47316fadabd07
    May 2015 ulikuwa mwezi ambao tulishuhudia maafa yaliyotokana na mvua kubwa zilizonyesha mfululizo Dar… mara nyingi hivi vitu vikitokea huku kwetu watu hawaamini kama hata nje ya TZ nako huwa vitu vinatokea hivyohivo.
    Mafuriko yametokea China, hapa unaweza kuona kwenye picha hali ilivyokuwa baada ya balaa la mafuriko kuwakuta.
    d43d7e14d47316faf2e232
    Hivi ndio ilivyokuwa kwenye Chuo kilichopo Nanjing, Jimbo la Jiangsu ndani ya China… Watu zaidi ya 65,000 wameathirika kutokana na mvua hizo.
    d43d7e14d47316fada8506
    Hii ni sehemu ya familia zilizoathiriwa na mafuriko, hapo wamepata hifadhi ya muda Dingyan Primary School, iliyopo Jiji la Changzhou China.
    d43d7e14d47316fadb0408
    Familia nyingine zilizopata hifadhi katika Shule ya Msingi.
    d43d7e14d47316fadb1409
    Bibi mwenye umi wa miaka 70 akitokwa machozi baada ya kuokolewa kwenye nyumba iliyokumbwa na mafuriko.
    d43d7e14d47316fadbb00b
    Hawa jamaa nao wako kwenye harakati za kujiokoa
    d43d7e14d47316fadbc00c
    Mwonekano wa mtaani nyumba zimefurika maji
    d43d7e14d47316fadbd20d
    Kikosi cha Waokoaji wakiwa wamembeba mmoja ya watu toka kwenye nyumba zilizofurika maji
    d43d7e14d47316fadbe10e
    Nao wamepumzika baada ya kupata hifadhi kwenye Shule ya Msingi.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Kama ulidhani noma ya mafuriko ni Tanzania pekeake, angalia picha tisa kilichotokea China.. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top