https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    KAMPUNI YA AVIC TOWN YAANZA KUUZA NYUMBA ZAKE ILIYOZIJENGA MRADI WA KIBADA JIJINI DAR


     Nembo ya Kampuni hiyo ya Avic Town.
     Ofisa Masoko wa Kampuni Avi Town, Kidani Muhombolage (kulia) akiwaongoza wateja walipotembelea mradi wa nyumba za aina saba zilizojengwa na kampuni hiyo zilizopo Kijiji cha Somangira Kigamboni Dar es Salaam, Mradi huo una ekari 583. 
     Wateja wakiwa wanatoka ndani ya nyumba hizo
     Sehemu ya kiwanja cha michezo
    Mandhari ya lango kuu la kuingia katika nyumba za mradi huo.
     Raia wa Jamhuri ya watu wa China waishio Tanzania wakifatilia jambo katika simu zao wakati walipotembelea mradi huo.
     Mmoja wa wateja hao akiongea na waandishi wa habari (pichani hawapo) 
     Mmoja wa wateja akiwaonyeshawenzake nyumba hizo wakati walipotembelea nyumba hizo
     Wateja waliotembelea Mradi huo wakiwa katika picha ya pamoja


    Mmoja wa wateja waliotembelea mradi huo ambaye ni Meneja wa Fedha Bank ya Amana,  Hamidu Mkila *kulia akikabidhiwa zawadi na mmoja wa Maofisa wa kampuni ya Avic Town,.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: KAMPUNI YA AVIC TOWN YAANZA KUUZA NYUMBA ZAKE ILIYOZIJENGA MRADI WA KIBADA JIJINI DAR Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top