Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Killango (katikati) akifurahia jambo na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulikia Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay (kushoto).
Naibu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulikia Uendeshaji na
Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay akisalimiana na Ofisa wa Benki
ya CRDB tawi la Mlimani City.
Keki.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Killango (katikati) akiteta jambo na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulikia Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay.
Naibu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulikia Uendeshaji na
Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay (kushoto) akiwaongoza wateja
wa Benki hiyo tawi la Mlimani City kunyanyua juu glasi zilizokuwa na
kinywaji cha shampeni.
Mmoja
wa wateja wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City akikata keki wakati wa
maadhimisho ya Wiki ya Wateja iliyofanyika katika tawi hilo.
Naibu
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulikia Uendeshaji na
Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay akimlisha keki mmoja wa wateja
wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City.

Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay (katikati) katika picha ya
pamoja na maofisa ya benki ya CRDB tawi laMlimani City ikiwa ni sehemu
ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Watejana (wa tano kushoto ni Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Killango.
Maofisa wa Benki ya CRDB tawila Mlimani City wakiwa wamepozi kwa picha.
0 comments:
Post a Comment