Mtuhumiwa
wa makosa ya mtandao anayetuhumiwa kusambaza katika mitandao taarifa za
uongo zinazomhusu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama, Benedic Angelo
Ngonyani (24) (wa kwanza Kulia) akiwa katika mahakama ya hakimu mkazi
ya Kisutu akisubiri kusomewa mashtaka.
Wengine ni
watuhumiwa wa wizi kwa kutumia mitandao ya simu (fraud and use of
telecommunication network) Ally Hamze (53) raia wa Afrika Kusini(wa Pili
kulia), Huang Kun Bing (26)Raia wa China (wa Tatu Kulia) Irfan Mirza
Baig (46) (wa kwanza Kushoto) Hefeez Irfan (32)(wa pili kushoto) na
Mirza Rizwan Baig(41) (wa tatu kushoto) wote watatu raia wa Pakistani
wakiwa katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu wakisubiri kusomewa
mashtaka ya Uwizi kwa kutumia mitandao ya simu (fraud and use of
telecommunication network).
Kesi zote zimeahirishwa hadi Oktoba 23, watuhumiwa wote wamepelekwa rumande huku uchunguzi ukiendelea.
0 comments:
Post a Comment