https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Lampard aagwa kwa keki ya Chocolate

    Lampard
    Shughuli ya kumuaga Frank Lampard imeanza wakati huu ambao nyota huyo wa zamani wa kimataifa wa England akijiandaa kujiunga na klabu ya New York City FC ya Marekani.
    Lampard, 36, ambaye ni mfungaji wa Chelsea wa wakati wote akiwa na magoli 211, msimu uliopita aliichezea Manchester City kwa mkopo, lakini mwezi Julai mwaka huu anakwenda kucheza ligi kuu ya Marekani.
    Kuelekea katika maisha mapya, Lampard na mchumba wake Christine Bleakley wameagwa na shemej yao ambapo waliandaliwa keki tamu ya  chocolate
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Lampard aagwa kwa keki ya Chocolate Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top