https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Cesc Fabregas anavyokula bata na mama kijacho wake

    29B7714600000578-0-image-m-3_1434585202676
     Fabregas akipunga upepo na mpenzi wake, Daniella Semaan
    KIUNGO mahiri, Cesc Fabregas anastahili mapumziko baada ya kupata mafanikio makubwa katika msimu wake wa kwanza Chelsea ambapo aliisaidia kubeba ubingwa wa kwanza wa ligi kuu England (EPL) ndani ya miaka mitano.
    Kwasasa Fabregas anakula bata katika mji maarufu wa Hispania,  Ibiza akiwa na mpenzi wake ambaye ni mjamzito,  Daniella Semaan.
    Nyota huyo ame-post picha Instagram kuthibitisha hilo. 
    Fabregas alijiunga na Chelsea majira ya kiangazi mwaka jana kwa dau la paundi milioni 30 akitokea FC Barcelona.
    Msimu uliopita alifunga magoli matatu, alipiga pasi 18 za mwisho katika mechi 34 alizocheza chini ya kocha Jose Mourinho.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Cesc Fabregas anavyokula bata na mama kijacho wake Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top