Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akikata utepe katika Bweni hilo .
|
Mkuu
wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akisalimiana na wanafunzi wa
shule ya sekondari Nuru iliypo wilayani Siha alipowasili kwa ajili ya
makabidhiano na ufunguzi wa Bweni la wananfunzi lililojengwa kwa
ufadhili wa hifadhi za taifa Tanzania (TANAPA). |
|
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akizungumza katika hafla fupi ya makabidhiano hayo. |
|
Baadhi ya wanafunzi katika shule ya sekondari Nuru wakimsikiliza RC Gama (hayupo pichani). |
|
Mkuu wa wilaya ya Siha,Dkt Charles Mlingwa akizungumza katika hafla hiyo. |
|