https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MAALIM SEIF ASHIRIKI FUTARI ILIYOANDALIWA NA RAIS WA ZANZIBAR, DK SHEIN IKULU


    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kujumuika katika futari ya pamoja iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein. Hafla hiyo imewajumuisha viongozi mbali mbali wakiwemo Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho na Wawakilishi wa CCM. Hafla imefanyika punde baada ya kuvunjwa Baraza la Wawakilishi jana jioni 26/06/2015. 
    (Picha na Salmin Said, OMKR)


    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MAALIM SEIF ASHIRIKI FUTARI ILIYOANDALIWA NA RAIS WA ZANZIBAR, DK SHEIN IKULU Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top