https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    NGOMA, TETTEH WAANGUKA MIWILI YANGA

    NGOMA2
    Ngoma akisaini
    Mshambuliaji nyota kutoka Zimbabwe, Donald Ngoma amesaini miaka miwili kuichezea Yanga.
    Ngoma pamoja na kiungo Joseph Zuttah ‘Tetteh’ naye amesaini miaka miwili kuichezea Yanga.
    Tetteh akisaini
    Wote wawili jana walifanyiwa vipimo vya afya na 
    kufuzu na leo wakafanya mazoezi na kikosi cha Yanga kabla ya kusaini mkataba leo.
    Mmoja wa wajumbe wa kamati ya utendaji ya Yanga, Isaac Chanji kwa kushirikiana na Katibu Mkuu, Dk Jonas Tiboroha ndiyo walishirikiana kukamilisha zoezi hilo.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: NGOMA, TETTEH WAANGUKA MIWILI YANGA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top