Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi mbali mbali wa
Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo
wakati wakiondoka chini kwa ziara ya kikazi nchini ujerumani.[Picha na
Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idii katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo wakati akiondoka chini kwa ziara ya kikazi nchini ujerumani pamoja na Ujumbe wa Viongozi mbali mbali.[Picha na Ikulu.]