https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    HALI YA FOLENI KATIKATI YA JIJI LA DAR HII LEO

    Kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali hapa jijini Dar, imepekea baadhi ya njia kufungwa kutokana na wingi wa maji kwenye baadhi ya madaraja, hali iliyopelekea kuwepo kwa msongamano mkubwa la magari kama ionekanavyo pichani hapa katika Barabara ya Azikiwe, kutokea kwenye kipita shoto cha Askari.Picha zote na Othman Michuzi.
     Mjini leo hakuna kutoka, maana foleni ni kila kona.
     Azikiwe hiyo.
    Mzee wa Feva kaamua kukaa kando, maana hakuna hata anaetaka kumsikiliza.
     Barabara ya Ohio street nako mambo ni kama hivi.
     Trafiki wa kujitolea akizizuia gari zisiingie katikati ya barabara kuhofea kuendeleza msongamano.
     Baadhi ya Madereva wa magari yaliopo kwenye msongamano wakimsikiliza mzee wa Feva juu ya hali ya barabara.
     Mtaa wa Chimala 
     Kama kiwese ni cha kuunga unga lazima uwaze kwa foleni hii.

     Gombania goli.
     dabo rodi.


    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: HALI YA FOLENI KATIKATI YA JIJI LA DAR HII LEO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top