Leo tumekutana na ndugu yangu Mheshimiwa Samuel Sitta. Mimi na Sitta tumetoka mbali kikazi na kindugu. Tumefanya kazi pamoja bungeni, ndani ya CCM na serikalini kwa mafanikio makubwa.
Namtakia heri katika harakati zake huku nikiaminikwa dhati kwamba uhusiano wetu ndiyo msingi wa umoja na mshikamano ndani ya CCM na kwa taifa letu kwa siku zijazo.