Cech amesaini mkataba wa miaka minne na Arsenal, na atakuwa analipwa kiasi cha Paundi 100,000 kwa wiki, na anaweza kuanza kuonekana uwanjani kwenye Mechi kati ya Arsenal vs Chelsea katika mchezo wa ngao ya hisani.
Muda mfupi baada ya kutambulishwa na Arsenal, Cech alitumia mtandao wa Twitterkuwaandikia ujumbe maalum kwa washabiki wa Chelsea na kuwaaga.


0 comments:
Post a Comment