WEMA SEPETU JOKATE WAMZOMEA DIAMOND TUZO ZA KILI JUZI
KAMA mbwai na iwe mbwai tu! Hiyo ndiyo kauli pekee iliyoweza kuakisi kitendo cha warembo, Wema Sepetu ‘Madam’ na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kuamua kumzomea zilipendwa wao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya kuzidiwa tuzo na hasimu wake, Ali Kiba. SOMA ZAIDI