https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    AJALI YA BASI LA SIMIYU EXPRESS YAUWA WATU WENGI BAADA YA KUACHA NJIA NA KUGONGA MBUYU HUKO DODOMA, MAJERUHI PIA NI WENGI SANA


    Basi la Simiyu Express likiwa eneo la tukio 
    Taarifa kutoka mkoani Dodoma zinasema basi la Simiyu Express Lililokuwa likitokea mkoani Simiyu kuelekea jijini D ar es salaam limeacha njia mara baada ya kupasuka tairi na kuacha njia na kugonga mbuyu na kisha kupinduka.

    Ajali hiyo ni mbaya sana Imetokea  Dodoma. Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa na ITV watu wengi wamepoteza maisha na wengine wamejeruhiwa, na kwamba majeruhi hao wamepelekwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma. Endelea kufuatili hadi hivi sasa bado kuna miili haijatolewa kwenye mabaki ya basi hilo kutokana na kuharibika vibaya na kubaki mithili ya nyama.


      

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: AJALI YA BASI LA SIMIYU EXPRESS YAUWA WATU WENGI BAADA YA KUACHA NJIA NA KUGONGA MBUYU HUKO DODOMA, MAJERUHI PIA NI WENGI SANA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top