https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Ajali za kuchekesha… zinazotokea alafu unatamani kujua kama ni kweli na ilikuwaje?

    AJ 9Kuna ajali nyingine kwenye hizi picha unaona kabisa hii inawezekana ilitokea lakini kasoro ajali moja tu basi kugonga Pikipiki alafu basi ndio likaumia wakati pikipiki kama haijaguswa.
    Nilikua natembelea mitandao mbalimbali leo nikakutana na hizi wanazoziita ajali zinazochekesha, ajali zenye maswali mengi…. ilikuaje mpaka dereva akapanda nalo juu ya bati? alielizamisha swimming pool je? huyu wa Lori hapa chini na yeye alitisha.. kabinua mzigo na gari zima.
    AJ 8
    aj 12
    AJ 6
    Aj 1
    AJ 2
    AJ 3
    MyIndiaPictures.com
    MyIndiaPictures.com
    AJ 5
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Ajali za kuchekesha… zinazotokea alafu unatamani kujua kama ni kweli na ilikuwaje? Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top