Home > Untagged BREAKING NEWS: BANZA STONE AFARIKI DUNIA BREAKING NEWS: BANZA STONE AFARIKI DUNIA Mwanamuziki wa muziki wa bendi Ramadhan Masanja maarufu kama 'Banza stone' amefariki dunia nyumbani kwao hivi punde baada ya kuugua kwa muda mrefu. R.I.P Banza Stone 14:40:00
0 comments:
Post a Comment