https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    DONE DEAL: HUYU NDIYE MRITHI WA VICTOR VALDES MANCHESTER UNITED

    2ADE386100000578-0-image-a-96_1437955783930
    Manchester United jana usiku wamethibitisha kumsajili Golikipa wa Argentina ambaye ni mchezaji huru,  Sergio Romero.
    Romero mwenye miaka 28 amesaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia miamba hiyo ya Old Trafford.
    Kipa huyo ametua Man United kurithi mikoba ya Victor Valdes ambaye anaondoka majira haya ya kiangazi.
    Romero worked with Louis van Gaal (right) at AZ Alkmaar and they won the Dutch league in 2009
    Romero alikuwa sehemu ya kikosi cha AZ Alkmaar kilichobeba ubingwa wa ligi ya Uholanzi mwaka 2009 chini ya Louis van Gaal.
    Romero was a free agent and has been brought in to replace the outgoing Victor Valdes
    Mlinda mlango huyo amejiunga na wachezaji wenzake wa United waliopo Marekani kujiandaa na msimu mpya.
    Baada ya kusaini mkataba, Romero amesema: 
    ‘Kiukweli nimefurahi kujiunga na Manchester United. Kucheza timu kubwa duniani ni ndoto iliyotimia”.
    “Louis van Gaal ni kocha wa ajabu, siwezi kusubiri kuanza maisha mapya tena, napenda changamoto katika maisha yangu ya soka”
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: DONE DEAL: HUYU NDIYE MRITHI WA VICTOR VALDES MANCHESTER UNITED Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top