https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    HABARI YA JOHN TERRY AMBAYO IMETIKISA ‘HEADLINES’ LEO JUMATATU

    2ACC30E700000578-3175266-image-m-4_1437936959748
    Nahodha mwandamizi wa Machampions wa England, Chelsea, John Terry leo ame-make Headline kwenye vyombo vya habari.
    Terry ameweka wazi kwamba ana nia ya kuichezea Chelsea angalau kwa miaka miwili ijayo na amesisitiza kwamba hatafuata nyayo za magwiji wenzake Petr Cech na Frank Lampard ambao kwa nyakati tofauti wameamua kuzichezea timu nyingine za Barclays Premier League.
    Msimu uliopita, Lampard aliichezea kwa mkopo Manchester City kutokea New York City ya Marekani, wakati Cech amejiunga na Arsenal majira haya ya kiangazi.
    Terry, 34, ambaye amekuwa na Chelsea tangu akiwa mtoto amesema ataendelea kuwepo England na anatarajia kustaafia soka Stamford Bridge.
    “Kama Chelsea wanaamua kuniachia sitakuwa na la kufanya, lakini nadhani nitaendelea kucheza, ila sio timu ya Premier League”
    “Kufikia Chrismas nitakuwa na miaka 35, nadhani naweza kucheza miaka mingine tena”.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: HABARI YA JOHN TERRY AMBAYO IMETIKISA ‘HEADLINES’ LEO JUMATATU Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top