Karibu mtu wa nguvu ambaye unavutiwa na pichaz za mijengo mikali kabisa… unajua ni kitu kinachovutia pia wakati mwingine kuona watu wakiwa na mijengo yao ambayo iko tofauti kabisa na aina ya nyumba tulizozoea, pata picha inavyokuwa noma ikitokea ishu kama mafuriko alafu hapohapo unaambiwa kuna watu wamejenga juu ya maji na wanaishi kwa amani kabisa !!
Nimezipata picha nyingi kabisa mtu wangu, unaambiwa kwa Marekani kwenye Miji kama ya Seattle na Portland hii ni kawaida kabisa kukutana nayo…. cheki watu na maisha yao mengine kabisa na nyumba zao juu ya maji bila hofu !!
Cheki Video ya nyumba nyingine zinazoelea hapa, bonyeza play.
0 comments:
Post a Comment