https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Hiki Chumba cha Hoteli kiko juujuu Mlimani, unalipiwa kila kitu utakubali kulala?

    overhead-view-hotel
    Mwonekano wa juu ya chumba, kwa chini unaona mto, mashamba na barabara kwa mbalii..
    Wako watu ambao kupanda jengo la ghorofa moja tu ni tatizo, unadhani atakubali kirahisi kabisa kulala hapa juujuu?
    cliff-hotel
    Labda ukiwa hapo utaenjoy zaidi kuona mazingira poa ya nje, Milima iliyozunguka, mto na nyumba za watu.. lakini swali ni hili moja; utakuwa na amani hata ya kupata usingizi?
    Karibu sana ndani ya Peru mtu wangu, hiki ni chumba cha Hoteli ya Natural Vive, vyumba viko vingi juu ya Mlima kwenye urefu kama wa futi 400 hivi toka chini, ukilipia Dola yako 1,000 ambayo ni kama Tshs. Milioni 2 zinatosha kukabidhiwa funguo ya chumba chako na utaenjoy siku nzima kuwa hapo juu.
    2015-07-12T070439Z_912071196_GF10000156697_RTRMADP_3_MEXICO-GUZMAN - Copy
    Hapa ni mwonekano wa ndani ya chumba.
    scary-see-through-suspended-pod-hotel-peru-sacred-valley-81
    Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook 
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Hiki Chumba cha Hoteli kiko juujuu Mlimani, unalipiwa kila kitu utakubali kulala? Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top