Kampuni maarufu duniani ya Apple ambayo imekua ikitoa bidhaa mbalimbali zikiwemo simu za mkononi za Iphone inatarajia kutoa na kulionyesha toleo jipya la simu za Iphone 7September 2015 lakini mpaka sasa hivi kuna designers wameanza kujaribu kuitengenezea picha itatokaje.
0 comments:
Post a Comment