Wema Sepetu alikuwa miongoni mwa watu wanaogombea Ubunge viti maalumu mkoani Singida lakini matokeo yalivyotoka hakupata ushindi kutokana na uchache wa kura lakini pamoja na hayo mashabiki wake walimuunga mkono kwa kuthubutu kwake na kumfanyia mapokezi haya Dar es salaam.
Staa huyo aliibuka na kupata kura za maoni za ubunge 90 huku wagombea wenza wakiongoza kwa kura za maoni, Asharose Mattembe (311), Martha Mlata ( 235) na Diana Chilolo (182).
0 comments:
Post a Comment