MWANAMUZIKI na mwigizaji, Jennifer Lynn Lopez ‘JLO’ mwishoni mwa wikiendi alisherehekea miaka 46 ya kuzaliwa kwa kutupia kinguo kilichoacha sehemu ya maungo yake wazi na kumfanya aonekane binti wa miaka 20.
Sherehe hiyo ya miaka 46 ya staa huyo ilifanyika huko Hamptons nchini Marekani. Katika sherehe hizo, JLO aliambatana na mpenzi wake mwenye miaka 28 aitwaye Casper Smart sambamba na French Montana.
0 comments:
Post a Comment