https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    TWEETS ZA MASUPASTAA WA ARSENAL BAADA YA KUTWAA EMIRATES CUP

    2ADC10A500000578-3175203-image-m-28_1437932485230
    Hii ni dalili kwamba kufikia mwezi Mei mwakani, Arsenal watakuwa wamekusanya makombe ya kutosha?
    Wakiwa tayari wameshinda kombe la pili la FA mfululizo msimu uliopita, Arsenal jana wametwaa kombe la pili katika mechi za maandalizi ya msimu mpya wakiichapa 1-0 Wolfsburg  na kunyanyua kombe la Emirates.
    Mapema mwezi huu, Arsenal walishinda taji la Barclays Asia Trophy nchini Singapore.
    Match winner Theo Walcott holds the trophy after scoring the only goal during the narrow 1-0 win 
    Bao pekee la Theo Walcott lilitosha kuipa ushindi Arsenal na sasa wameelekeza nguvu kwenye mechi yao ya ngao ya Hisani dhidi ya Chelsea itayopigwa Wikiendi ijayo dhidi ya Chelsea.
    Baada ya ubingwa hao, baadhi ya nyota wa Arsenal wali-tweet hivi…
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: TWEETS ZA MASUPASTAA WA ARSENAL BAADA YA KUTWAA EMIRATES CUP Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top