https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    PICHA: DIAMOND NA ZARI MAHABA NIUE

    Love is in the air, Diamond na Zari wanazidi kufurahia maisha huku wakimsubiri baby baby, sijui ni baby boy sijui ni baby girl, jibu wanalo wenyewe..lakini Love Is The Air..LOL!

    “Number One” hitmaker Diamond Platinumz na Zari wanategemea kupata mtoto siku za hivi karibuni, hakuna wanachoficha sana kwa sasa kama ilivyozoeleka kwa mastaa wengine, ingawa kuna mastaa ambao huweka public, Diamond na Zari ni among wale ambao hawafichi kitu.
    Wawili hao kwa mara nyingine wameshare picha yao ya pamoja ikionyesha furaha waliyo nayo huku Diamond akilibusu tumbo la mwanadada Zari Hassan ikiwa na maneno ”
    Pita kimya kimya, don’t wake my family Daddy and Daughter taking a nap”
    Angalia picha
    zar1zarizariiii


    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: PICHA: DIAMOND NA ZARI MAHABA NIUE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top