Tetesi za Angel Di Maria kuelekea PSG zinakaribia kufikia mwisho kesho ambapo kwa mujibu wa ripoti zilizotoka ni kwamba anategemewa kutangazwa kesho. Hadi sasa taarifa zilizotoka ni kwamba Manchester na PSG wameshakubaliana kiasi gani kitalipwa kwa ajili ya uhamisho wa huyu mchezaji.
Mchezaji huyu mwenye miaka 27 ambae ameshindwa ku-perform kwenye EPL anategemewa kuhama kutoka kwenye ligi hiyo na kuhamia League 1. Uhakika ni kwamba kesho PSG wanategemea kumtangaza Di Maria kama mchezaji wao mpya.

0 comments:
Post a Comment