Mzee Kingunge alisema >>> ‘Kamati Kuu inapelekewa orodha ya watu watano wapitishwe, hawa Wagombea wote 38 waliorudisha fomu hawakuwaona, hawakupita mbele yao, hawakuwauliza maswali na hata kwenye Kamati ya Maadili naamini hawakuitwa.. Kuna watu wachache wamekaa wakatengeneza orodha yao’
Pamoja na hayo, hii hapa chini ni video ikiwaonyesha Edward Lowassa, January Makamba, William Ngeleja na Bernard Membe wakizungumza baada ya Top 5 kutangazwa na list ikawataja January Makamba, Bernard Membe, Balozi Amina Salum, Asharose Migiro na John Magufuli.


0 comments:
Post a Comment