https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    VAN GAAL AMTAMKIA HAYA DAVID DE GEA……

    2AA4173D00000578-0-image-a-2_1437677856905
    Louis Van Gaal amemwambia golikipa wake, David De Gea kwamba anataka acheze dhidi ya Barcelona katika mechi ya kirafiki itakayochezwa kesho Jumamosi nchini Marekani ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa Premier League.
    Matatizo ya mgongo yalimuweka nje ya uwanja, De Gea katika mechi mbili za Manchester United nchini Marekani, lakini Van Gaal baada ya kumpeleka Hospitali mjini California kufanyiwa uchunguzu, imeonekana hana tatizo.
    De Gea has recovered and Louis van Gaal expects him to play some part in Saturday's clash with Barcelona
    Wakati msimu mpya unakaribia kuanza, De Gea ameonesha kutaka kuondoka Old Trafford kwenda Real Madrid, lakini Meneja wa Man United imesema anatakiwa ku-focus kuitumikia klabu yake ya sasa.
    Jumanne ya wiki hii, De Gea aliombwa kuungana na wenzake kwenye ‘warm-up dhidi ya San Jose Earthquakes, lakini hakufanya lolote, ila sasa Van Gaal anatumaini kwamba atacheza dhidi ya Barcelona mjini Santa Clara.
    Van Gaal amesema: “Nina matumaini kwamba anaweza kucheza dhidi ya Barcelona. Alipata majeruhi (mapema wiki hii), nimemwambia akasimame golini kuwaongoza washambuliaji wangu, lakini asifanye chochote kinachoweza kumpa madhara” Amesema Van Gaal.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: VAN GAAL AMTAMKIA HAYA DAVID DE GEA…… Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top