Mipango ya Manchester United
kwenye mechi ya mwisho ya katika ziara ya Marekani haikwenda sawa ndani
ya kipindi cha kwanza kwani PSG waliwadhihirishia kwamba ni klabu bora
barani Ulaya.
Blaise Matuidi aliwafungia goli
la kwanza mabingwa hao wa League 1 katika dakika ya 25 na dakika ya 34
Zlatan Ibrahimovic akafunga goli la pili.Zlatn alihusika kutengeneza ‘move’ ya goli na kumalizia pale PSG walipocheza Tiki-Taka dhidi ya Manchester United…
Tazama goli la Ibra….


0 comments:
Post a Comment