Ukiwa ndani ya ndege unaweza usijue au ukajua chanzo cha ndege kuyumbishwa kiasi hiki, ila ni upepo mkali ambao huwa upo katika baadhi ya viwanja vya ndege duniani na ndege nyingi huyumbishwa sana na kupata tabu wakati wa kupaa na kutua.
Kutokana na upepo mkali uliokuwepo Schiphol Airport ndani ya Amsterdam Uholanzi July 25 2015, ikashuhudiwa ndege ya KLM 777-300ER ikitua kwa shida na ukiangalia unaweza kusema wakati mwingine ndege ikikutana na balaa la namna hii alafu mkatoka salama ni jambo la kumshukuru Mungu.
Cheki video ilivyokuwa.
0 comments:
Post a Comment