
ALIYEKUWA Waziri mkuu wa Serikiali ya awamu ya Tatu Fredrick Sumaye ametangaza rasmi kujiunga na chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema na kuungana Waziri mkuu wa awamu ya nne Edward lowassa.Anaandika KAROLI VINSENT endelea nayo.
Akizungumza na waandishi wa Habari mda huu Jijini Dar es salaam ,Sumaye amesema amefikia hatua hiyo baada ya kuchoshwa na uvunjaji wa kununi ikiwemo katika harakati za kumteua mgombea wa Urais kwa upande wa CCM akidai mwenyekiti wa chama hicho Jakaya Kikwete alitumia ubabe katika kuwaingiza watu wake tano bora.



0 comments:
Post a Comment